Tafadhali subiri... .

Njile Viatu ,ni wauzaji wa viatu vya kiume,kike na watoto kwa jumla na rejareja, tunapatikana Dar es salaam, Maduka yetu yanapatikana Mbagala rangi 3 stendi ya shamba.



Our mission

Njileviatu ni wauzaji wa viatu vya ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu, vinavyokidhi mahitaji ya wteja wa kila rika, huku tikihakikisha huduma bora kwa wateja, mtindo wa kisasa, na utoaji wa haraka katika maeneio yote tunayofikia..

Our vision

Kuwa chanzo cha kuaminika kwa wateja wanaotafuta viatu mtandaoni vyenye ubora,mtindo na thamani.



 
© Njile Viatu 2026 - Design & developed by Digital Finix